Octopizzo – “On Top” [Video + Lyrics]


Verse 1
Walidhani wakibai subaru watakuwa wameacha legacy
Octo niko juu ya madawa ni kaa nimekalia pharmacy
brain iko full ata ujinga hiwezi ulizia vacancy
unataka kuwa ka mi?come YGB then hang na si
bado unakunywa cham? eh, zangu ni ma Hennessy
kuja na attitude tukuingize maira, kamasi
tunawahemesha tunawachochoa wakitokwa na makamasi
mafuta ikiisha tutapita na makaa basi
ukikula chungwa na ndizi mi nitakula nanasi
niko mbele, wako nyuma ka wafuasi
reason ni daily maze, me huwachoma ka pasi
wanakam so slow, ju track iko kasi
sahi namek doh, jo mtu wangu niko kazi
mtaa naenda na maziwa ju corrupt game mi ni mzazi
cost ya kila kitu imepanda, ebu enda Mombasa mtu wangu uulize bei ya mnazi

Chorus

number nane wapi? Number nane on top
Octopizzo wapi? Octopizzo on top
so get that mulla, buy that ndula, say
get that mulla, buy that ndula
YGB wapi? YGB on top
Octopizzo wapi? Octopizzo on top
so get that mulla, buy that ndula, say
get that mulla, buy that ndula

Verse 2

I spit fire then I let it burn like Usher
corrupt game nadai cash ka Akasha
first class picnics nipate Naivasha
kuroll na mamodel wasupa ka kina Natasha
sitembei na wallet, doh kwa bahasha
walijiona the storm sai nawamek rasharasha
who’s smarter now? Si wewe
niko juu yao nawachungulia ka mwewe
Octo AKA itisha upewe
YGB AKA itisha ulewe
just a minute wacha nimalize kuchana
na si nywele, ni vijiti
ka plantation za Kericho, washatii
na ka bado itabidi nimewashika mashati
niwagote ata kuliko wanati
ju ukikuja na ruff game my own ish ni kama batwail

{Chorus}

Verse 3
Nimetoka Kibera lakini ata nikisota sicopy
hawana style skuizi yangu ndio wanajaribu kucopy coz
wanaluck originality ka photocopy, si sikizani na paparrazi ju mi ni photophobic
lakini kwa battle nazidi kuwamada na logic, am so straight Octo mi ni homophobic
wanadai beef na kwa facebook wako so poky, kwa rap sichoki, number nane sitoki
boy yuko na flow moja kali ka elnino, Bongo mi ni most wanted jo ka albino
akili ni nywele, linda zako jo ka mokorino, hiphop kwa damu natumia blood ka wino
daily huaga nazidi kuexcel ka chino, daily nawachenga zile za ki Ronaldinho
ka unaumwa sana mtu wangu pia unaeza kunywa ino
ukinibo sana mtu wangu pia naweza kutukana *##*
ni I double, P-I mambo, sahii niko on the spot ka Radio Jambo
nakunyanyasa ata kuliko madha wako wa kambo
na ka hujawai jua mtu wangu rap sijaanza kitambo
nimeanza juzi na tayari niko kwa mitambo, niko used to the machines maze ka Rambo
wananiogopa, siku hizi wakiniona wanaanza kusitasita ka list ya Ocampo

{chorus}


Here are our Top 10 Octopizzo songs and videos.

2 comments

You've got a reaction to this post? Comment below:

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.