Verse 1 
Moyo Wangu Aliumiza Vibaya Nanusurika kua Hai ,
Nanusurika kua Kua Hai Na Kidonda Ndugu
Alionipa Kina Maliza Tu Dawa Katu Hakiponi Ooh Akiponi!!
Ila Kumuacha Ndio Siwezi Moyo Umemchagua
Yeye japo Najua Hanipendi Kua Naye Sitaki ,
Ila sina budi Moyo Unamuitaji
(Nampenda Anajua ndio Mana Anajisheua Moyo
Una kina Kirefu Kilichonieka Kwake ndo sijaelewa×2)
Pre-Chorus
(Aaghaaghaagh Haya Mapenzi Hayana Macho
Aaghaaghaagh Masikini Moyo Wangu kapenda Mahala sipo x2)
Chorus
( Yule mbaya Ndo nimpendaye
Yule mbaya Ndio nimtakaye
Yule mbaya ndio nimpendaye
Nafsi Mtumwa wa Moyo x2)
Verse 2
Kweli Nafsi Mtumwa wa Moyo
Niliishia kumkumbatia nilipomfunia wazi wazi na jamaa
Aliporudi nikampokea ila akanizuga tena na tena
Mdomoni mchungu ila nimeshindwa kumtema
(Sipougenini ila ni kweusi Anachothamini
Fulusi tatizo mimi mfupi vyangu vyaliwa kichwani x2 )
Pre-Chorus
(Aaghaaghaagh Haya mapenzi hayana Macho
Aaghaaghaagh Masikini Moyo Wangu Kapenda Mahala sipo ×2)
Chorus 
(Yule Mbaya ndio nimpendaye
Yule mbaya Ndio nimtakaye
Yule mbaya ndio nimpendaye
Nafsi Mtumwa wa Moyo ×2)

2 responses to “Otile Brown – “Yule Mbaya” [Lyrics]”

  1. I Like The Page.Good Work And Keep It Up.
    Wish To Join You, HERE.

    1. Thanks. You can send email with your contacts to aipateblog@gmail.com

Leave a reply to Joplatz Msafi Cancel reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

LATEST

EDITOR’s PICKS